iqna

IQNA

maangamizi ya kimbari
TEHRAN (IQNA)- Shirika moja la kuetea haki za binadamu limesema oparesheni ya hivi karibuni ya utawala haramu wa Israel ya kubomoa nyumba za Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan ni ' maangamizi ya kimbari '.
Habari ID: 3473335    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/06